JamiiForums Usiku wa manane
Uchochezi uko wapi hapo.
Nielekeze nielewe Ili niache kuchochea.

Ongelea swala la kusukuhisha na sio kuendeleza mada na kuaza kujudge watu kutokana tu na joke ya jana

Kila mtu ana life stly yake na sio kila kitu kinacho andikwa hapa kina mdifen mtu jinsi alivyo
 
Ongelea swala la kusukuhisha na sio kuendeleza mada na kuaza kujudge watu kutokana tu na joke ya jana

Kila mtu ana life stly yake na sio kila kitu kinacho andikwa hapa kina mdifen mtu jinsi alivyo
Uelewa wako umekutuma hivoo. Soma vzr utaelewa mkuu,

Sina Nia ya kuendeleza.

Au mkuu Ushoga ni Normal kwako .
 
Basi sijachochea fujo mkuu.
Kua muelewa.

Sie pia tunameneno machafu ila tumezidiwa na busara kuliko uchafu.

Amani ituzidie kwetu

everyone has their own way of interpreting something, one can take it for granted, another takes it wrongly, all this trick is the reason for interpreting the information and that is why I have apologized and I know that someone was very upset, that is why I copied the mistakes
 
Muone ulivyo mrembo kama juma lokole ngoja aje mzee wakupambani akuchukue.
Naonekana nimepaniki kijinga, ila ushahidi huu hapa☝️. Mr kenice

Nisameheni Mimi jobless wa kimataifa, maana inaonekana nimekwenda nje ya utaratibu wenu,

Aisee wacha nicheze level yangu na majobless wenzagu, maana inaonekana ntakuja itwa jina jingine la ajabu kabisa.
 
Aisee siyo poa muziki wa hapo na warembo wa hapo acha, watoto white waarabu na vikaptura vya jeans.
Hivi bado ikifika saa 8 mnashuka chini? Bwawani raha sana unakunywa bia huku upepo wa bahari unakupuliza No jasho. Nitakujaaaaaa
😁😁😁😁😁🤣Nilishaazima ndo nazinduka sasaa bantu.
Kweli ww mdau fanya Ukuje aisee tumwagilie mioyo👥
Yeah kama kawaida ukiamua Kunywa kizani ni ww tuu kwenye maji hayaa kazi iko kwako
Njoo na gar leni lacham
🤣🤣🤣🤣Hilo halipo liaandaliwa kwa ajili ya mzee yusuph atakuwepo leo
 
Broo nmetoka kumwagila bustani nasi Moyo kama wafanyavyo wengne.

Ila hii comment ipo seriously kabisa Wala sio jokes kama ilvo kawaida ya jamvi.

Vp uli mind mkuu,
Kama ni hvo bas samehe na sahau.

Be hamble.🤲🤝🤝
Wakuu nadhan hatupaswi kukasirikiana na ikotokea tunasameheana na kwendelea na maisha mengine
 
everyone has their own way of interpreting something, one can take it for granted, another takes it wrongly, all this trick is the reason for interpreting the information and that is why I have apologized and I know that someone was very upset, that is why I copied the mistakes
Mkuu umeandika kikubwa sana.
Kama bahati mbaya hutoeleweka na hapa basi Mungu tumwachei maana hamna namna tena.
Asamehe yaishe baadae twendelee na zam kama kawaida
 
Back
Top Bottom