Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Msamehane muwe watulivu
Nimekuelewa mchungaji
Msamehane muwe watulivu
Mkuu upo vizuri04:31
Shift ya jana inaelekea uliipeleka kibane sana🤣🤣🤣Jina langu lina gb kibao, hadi kichwani kwako utajaza space,
so usiniletee ubwege kwenye mitandao Kama unaniweza let's meet face vs face.
🙅Siku moja jobless wa kimataifa nikiwa natembea mtaani, niliwaona mende wawili wakikimbizana kwa kasi kubwa.
Mende mmoja wao alikuwa ni dume na yule mwingine alikuwa ni jike mweusi, ghafla nilipigwa na butwaa baada ya kumuona mende dume akijaribu kumbusu mende jike kwa lazima.
Nikawaza 🤔🤔 vipi Kama anambaka??, Nikaamua nimsaidie ila kabla ya kutekeleza swala Hilo. Nilipata wazo jingine "vipi Kama yule mende jipya alikuwa ana kula hela za mende dume?? Na mzigo alikuwa hataki kutoa??
Nimeamua nikae ili niangalie show inavyokwenda, maana mi mwenyewe niko single so naweza pata uzoefu
Dah sijui nani ndo mwenye haki ??
To yeye Bantu Lady Dahan National Anthem Mwachiluwi
Msumbufu huyo
Mi niongozane na dogorasi? Au nimesoma vibayaBaada ya kukaa muda mrefu bila kuwa na kazi.
Ndugu yenu niliamua nijaribu bahati yangu katika tasnia ya muziki.
niliamua kusafiri kutoka katika Kijiji chetu kinachofahamika Kama nchi ya wabahatishaji na kuamua kuelekea katika jiji la daresaaalamu.
Lengo langu kuu lilikuwa ni kuimba nyimbo 5, hivyo baada ya kufika stend ya mbezi, nilipokelewa na mwenyeji wangu boss Mwachiluwi aliyekuwa ameongozana na secretary wake To yeye .
Waliamua kunipeleka studio moja kwa moja Ili nianze kazi iliyo nileta, baada ya kuonana na produza.niliamua nianze kuimba nyimbo inayohusu maisha yangu Mimi jobless wa kimataifa.
Dah sijui nini kilitokea🤔🤔 kwani tokea asubui Mimi na produza tulikuwa tunalia hovyo 😥😪
Bantu Lady To yeye boss Mwachiluwi National Anthem Dahan na stow away
Broo nmetoka kumwagila bustani nasi Moyo kama wafanyavyo wengne.Najua mabwege wenzio ndo wamekuchochea, najua hata Kuna vijembe walikuongezea.
Kipindi unanitusi walisimama kidedea, Sasa nigga nakinukisha hakuna ruksa ya kima au nyani kuongea.
Sijawahi kumlinganisha au kumtania mwanaume mwenzagu kuhusu ushoga, so sihusiki na life style yako story zako za kiwaki unazoona ziko too simple.Muone ulivyo mrembo kama juma lokole ngoja aje mzee wakupambani akuchukue
Mkuu huwa napenda matani zaidi ya Sana, ila sijawahi thubutu mtania au kumlinganisha mwanaume mwenzagu kuwa shoga,Broo nmetoka kumwagila bustani nasi Moyo kama wafanyavyo wengne.
Ila hii comment ipo seriously kabisa Wala sio jokes kama ilvo kawaida ya jamvi.
Vp uli mind mkuu,
Kama ni hvo bas samehe na sahau.
Be hamble.🤲🤝🤝
Tulikuwa tuna joke vizuri tu, tena nikijifanya zaidi ya zuzu ili game ichangamke.Exactly 💯,
Alikosea sana.
Ile mada haikustahili.
Hapa JF wengi wanaathiriwa na Nyuzi zinazozungumzia Ushoga iwe positive au negative.Tulikuwa tuna joke vizuri tu, tena nikijifanya zaidi ya zuzu ili game ichangamke.
but nashangaa naitwa juma lokole??, Mara nisubiri wazee wanipambanie duh, that is a big insult not to me mpaka kwa wazazi wangu. Damn Mr kenice
Kuna watu mafundi, km vibogoyo vile,si mchezo
Afu mtu anakuja anakuambia hakuna Cha kukasirika, je nilimtukana mtu??nilidhihaki utu wake[emoji848][emoji848], matani tunayoyafanya ni normal,
mpaka unaona naandika vile ujue nimewaza hivi mtu akija akasoma si ataona mi so mwanaume??[emoji848][emoji849]
Wacha jobless wa kimataifa nitulie, huenda hizi mambo ni simple huko kwenu nyie .
,Afu mtu anakuja anakuambia hakuna Cha kukasirika, je nilimtukana mtu??nilidhihaki utu wake🤔🤔, matani tunayoyafanya ni normal,
mpaka unaona naandika vile ujue nimewaza hivi mtu akija akasoma si ataona mi so mwanaume??🤔🙄
Wacha jobless wa kimataifa nitulie, huenda hizi mambo ni simple huko kwenu nyie .
Is not normal mkuu, sema vinafanywa viwe normal kikubwa tuvikemee Kwa pamoja.
,