JahManPeace
JF-Expert Member
- Dec 1, 2019
- 473
- 663
00:02
Karibu. Sasa wewe utakuwa kitengo sindano00:02
Karibu sana ila leo utakuwa kule chumba cha wajawazito ila uwe mpole na uwahidumie kwa upendo00:12 reporting commander.
Karibu sasa weweeee kile chumba cha watoto00:13am
Tunaelekea Entebe wakuu tujaagee
Mbona hujatukaribisha kwa salaWakeshaji mkuje
Huko hapanifai, kwani nipo single kwa miaka mingi. Sasa nikiwaona wanavyoumia, sijui ka ntatongozaKaribu sana ila leo utakuwa kule chumba cha wajawazito ila uwe mpole na uwahidumie kwa upendo
Umebarikiwa00:20
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Waooooo karibu sana mkuuu.00:20
💃💃💃💃💃💃💃💃
Umetekwa mbona unaaga mpaka unakosea typingSikeshi leo [emoji443][emoji443][emoji443][emoji443] naenjoy weekend [emoji1635] Cheer's [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] byebye walimda lindo leo [emoji8]
Hapana aisee, ni sawa na umwambie fisi ailinde bucha ya nyama.MTaalamu lazima ujue kuvumilia na kutoa huduma. Au ubadilishane na To yeye ila changamoto hajafika
Arsenal kisha pigwa 1-0Arsenal vs Manchester City [emoji108]
Live the life u loveSikeshi leo 🎼🎼🎼🎼 naenjoy weekend 🥂 Cheer's 🔥🔥🔥🔥🔥 byebye walinda lindo leo 😘