National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Pumzika vyema mkuu.. Acha nitekwe hapa na Mariam pamoja na kundia lake 🤕🤕🤕
04:07 Haya, iam off bro
04:07 Haya, iam off bro
naamUnaenda kucheza taichi😂😂😂
Siwezi angaishwa na mbuzi wa shughuli, ambae kila siku ana inamishwa kule sinza makuburi
Jina langu lina gb kibao, hadi kichwani kwako utajaza space,
so usiniletee ubwege kwenye mitandao Kama unaniweza let's meet face vs face.
Sielewi we ni mia mbovu au saa mbovu??, Serious unaniletea habari za kupakana mapovu[emoji848][emoji848]
Ogopa hata wokovu,next time usichezee simu ya mganga uta delete mizimu.
Tumebaki mabwege wawili mimi na Dahan [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] tunapokea vichambo vya Mwachiluwi and Co
Najua mabwege wenzio ndo wamekuchochea, najua hata Kuna vijembe walikuongezea.
Kipindi unanitusi walisimama kidedea, Sasa nigga nakinukisha hakuna ruksa ya kima au nyani kuongea.
Utasema nini tena, labda ukahubiri galilaya coz we ain't the same so inanibidi kuretire.
This is not a diss, iam just here to clarify Kama unataka mbwai, basi iwe mbwai.
You got no business to talk about me, coz iam a full band orchestrated symphony