Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Wivu huo, ndiyo maana uko single. Na kazi utafukuzwa hapaKaone kembamba Kama pembe la ng'ombe
Wivu huo, ndiyo maana uko single. Na kazi utafukuzwa hapaKaone kembamba Kama pembe la ng'ombe
Mwachiluwi unamsikia mlinzi wako huku? Eti mimi mfupi [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wacha hio kazi iende, haiwezekani mtu una kichwa kikubwa Kama papaiWivu huo, ndiyo maana uko single. Na kazi utafukuzwa hapa
Kaone kembamba Kama pembe la ng'ombe
Dah ntaifanya kama surprise tu😲Karibu na wewe unaweza tuma yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kma wajiamini
Mwachi 😓😓😓😓😓Wacha hio kazi iende, haiwezekani mtu una kichwa kikubwa Kama papai
Wacha hio kazi iende, haiwezekani mtu una kichwa kikubwa Kama papai
Mwachi [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Dah ntaifanya kama surprise tu[emoji44]
Ndo mana una pua Kama filimbi za wachawi.Mwachi 😓😓😓😓😓
Na wewe sura imekushuka Kama nyanya ya nyongeza.Na mahughulikia
Wee muache akaondoka sasa iv
Ndo mana una pua Kama filimbi za wachawi.
Hizoo Joke's Kali hivii😲🤣🤣 mkuu unazipataga wapi,😛🤣🙃.Na wewe sura imekushuka Kama nyanya ya nyongeza.
Na wewe sura imekushuka Kama nyanya ya nyongeza.
Umesahau Mimi ni jobless wa kimataifa.Hizoo Joke's Kali hivii😲🤣🤣 mkuu unazipataga wapi,😛🤣🙃.
Na wewe sura imekushuka Kama nyanya ya nyongeza.
Kwa hiyo mkuu,huko geita maji huwa hayakauki??mwaka mzima??Hizoo Joke's Kali hivii😲🤣🤣 mkuu unazipataga wapi,😛🤣🙃.
Mwachi njoo umuone anataka kuhama Dar, aende Geita kwa Mr KeniceKwa hiyo mkuu,huko geita maji huwa hayakauki??mwaka mzima??
Yaani wewe una mdomo mkubwa Kama choo Cha shimo.Mwachi njoo umuone anataka kuhama Dar, aende Geita kwa Mr Kenice