Halafu sijui hata vinatokeaga wapii na ukiviita mkiwa ndani vigumu kuitika witoo haswa kikiwa hakikujui weeeKaribu sasa weweeee kile chumba cha watoto
Sitaki, naona ninaweza pata uzoefu huku.Basi hebu badilishana na To yeye
KabisaArsenal kisha pigwa 1-0
Wapi sasa ww, kuna mzee yusuph00:20
💃💃💃💃💃💃💃💃
Siendagi hizo 😅😅😅😅 niko zangu Havoc 👋Wapi sasa ww, kuna mzee yusuph
Sehemu Safi pesa inakofia sio😁😁😁dah cocktails 🥃Siendagi hizo 😅😅😅😅 niko zangu Havoc 👋
Leo ndo jukumu lako na nakuongezea PendaelliHalafu sijui hata vinatokeaga wapii na ukiviita mkiwa ndani vigumu kuitika witoo haswa kikiwa hakikujui weee
Halafu sijui hata vinatokeaga wapii na ukiviita mkiwa ndani vigumu kuitika witoo haswa kikiwa hakikujui weee
Basi vizuriSitaki, naona ninaweza pata uzoefu huku.
Cha maharage au nyama mkuuNakumbuka kipindi nasoma Kuna moment ilifika wajuba tukaona sasa tutafeli tusipo zingatia msuli.
Tuka anzisha Challenge iitwayo (MTOBOZI) Na atakae shinda Kuna dau nono atapatiwa ni hii dau tuliiita (Top layer).
Challenge hii inahusisha kukeaha ukisoma ndani ya sikumbili mfulukuzi bila kulala na uhakikishe unatoboa asubuhi. Yaan ndio maana halisi ya MTOBOZI.
NA ukishinda sasa unapata Ofa ya kupata top layer.
Kwa kipindi hcho hii top layer ilkua dili sana.
Kwangu nlishinda kila mara mana kukesha Kwangu ni maamuz tu. Ko top layer niliifaidi sana.
😛😛
Je top layer ni nini??🤔
Tikiti 😂Nakumbuka kipindi nasoma Kuna moment ilifika wajuba tukaona sasa tutafeli tusipo zingatia msuli.