JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wakuu tunahamia Bwawani Night Club..... Maana hapa ni ngoma ya watoto.
Zanzibar duh, totoz shombe shombe Unguja na pemba mixture 😃😁😁
Wakuu we born, we live, we safer then we die but before you die kula ya Dunia mapemaa
Aisee siyo poa muziki wa hapo na warembo wa hapo acha, watoto white waarabu na vikaptura vya jeans.
Hivi bado ikifika saa 8 mnashuka chini? Bwawani raha sana unakunywa bia huku upepo wa bahari unakupuliza No jasho. Nitakujaaaaaa
 
Ahahhaha mchungaji katukana ahahhaha
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mniache nimejikuta kwenye kunguru wa Zanzibari na mimi naanza kubadilika nyie watu mnataka niruke nanyie wakati hatufanani rangi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila naendelea kusoma endeleeni
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mafuta ya upako tumechukua kwa mwamposa tukasema ngojs tumpske ndugu yetu walau apate naye kazi asiwe jobless atoke kwa dada yake pale shemeji yake mda mwingine ana mtukans au tumekosea?

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ah shenzi type koh koh[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom