Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Hapana boss
Mmmh au unaweka ukingo tuogope??
Mmmh au unaweka ukingo tuogope??
Niko machoKweli bongo Kuna watu mnahela....Yani mmelala mpaka mda huu!!???
02:58am
Mbona tunaumbuana hapa tena? Au unaona wivu mimi kupewa vitabu vya novel na psychology? Bwana eeeh we pambana na hali yako usitake kunitingisha ebo!Mwambie kabisa hizo novel ziwe kwenye mfumo wa fasihi simulizi maana najua ulikimbia umande

Hapo umenena vyema, hebu nitumie muamala nisome zangu mie hayo mapesaKomredi wala usijisumbue huyu kikongwe kitu pekee anachoweza kusoma ni Pesa, hivyo vitabu ataishia kuvutia gozo tu.

Huo ustaarabu wa kuniomba umeanza lini? Wewe si unajichukuliaga tu? Au unajikilosha tu hapaHapo bora nikae kimya maana nikiongea kuna kitu ataninyima nikimwomba.

Njoo tuko hapaMko wapi??
Nipe mstari huo nikausome wote
Ayubu 17:12kiukweli nimeutafuta sana kwenye Bible ila sikuuona ndio maana nikaja kukufokea eti tusichoshane.