onlyalvira
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 1,499
- 3,117
0002
15.02.2021
In
15.02.2021
In
Komredi wala usijisumbue huyu kikongwe kitu pekee anachoweza kusoma ni Pesa, hivyo vitabu ataishia kuvutia gozo tu.Novels, psychology, philosophy etc
Aisee kumbe siku hizi kuna utaratibu kabisa humu, we kikongwe Thad hebu ukuje uniambie vizuriUnaharibu utaratibu![]()
Itakua ni sisiem eeKomredi wala usijisumbue huyu kikongwe kitu pekee anachoweza kusoma ni Pesa, hivyo vitabu ataishia kuvutia gozo tu.
Mwambie kabisa hizo novel ziwe kwenye mfumo wa fasihi simulizi maana najua ulikimbia umandeHapo kwenye novel na psychology utanipata!
Hapo bora nikae kimya maana nikiongea kuna kitu ataninyima nikimwomba.Itakua ni sisiem ee
Usiku mwema mlale salama......
Usiku mwema mlale salama......
Mko wapi??
0013EAT
In
Lindo limeanza?