B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Ni usiku mwema?
AU
Usiku mwemeni.
AU
Usiku mwemeni.
00:24
Tutakuwa pamoja hadi wanipokee zamu
N
Nyauba ni popo. Kiufupi mchana nzi usiku popo
Walinzi wenzangu
Hamjambo.
Nzuri
Za wewe?
Nilikumiss![]()
Hamjambo walinzi wa hiyari
Niliwamiss
Kitambo Sana sijapita huku
Hivi mngeambiwa na serikali mje hapa usiku huu mngechukua hatua gani ndugu zangu?
Ni usiku mwema?
AU
Usiku mwemeni.
Hahah!Namshukuru Mungu Mimi Ni Mzima Wa Afya Pamoja Na Ndugu Na Jamaa Wanizungukao.
I miss you too. Nikakosa hata muda wa kuja kukuzoom kule napokuona "natural hair" pale ndipo huwa unaua zaidi.
Usingizi umekata
Hahah!
Siku hizi sina picha kabisa
Wewe yako utanitumia lini?
PoleUsingizi umekata
Nitumie tu.Soon ukifungua kule mlango![]()
Nitumie tu.
Mimi huwa sifungi Mara kwa mara.