Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,252
- 90,446
Nipo Dodoma hapaWow toa location mkuu! Ntapanda hata Bus😀😀
Ole wao waliogeuza mchana kuwa usiku!Uzi umekua wa mchana
Special kwa ajili ya valentine![]()

😅😅😅😅Ole wao waliogeuza mchana kuwa usiku!![]()
Kwani hujausoma hapo nilipouandika? Tusichoshane bwana na hii Valentine day!
Nipe mstari huo nikausome wote
Ulivyo u-state nikahisi umequote kutok kwenye BibleKwani hujausoma hapo nilipouandika? Tusichoshane bwana na hii Valentine day!
Ulivyo u-state nikahisi umequote kutok kwenye Bible

kiukweli nimeutafuta sana kwenye Bible ila sikuuona ndio maana nikaja kukufokea eti tusichoshane.Anhaa siku ingine usifoke,kiukweli nimeutafuta sana kwenye Bible ila sikuuona ndio maana nikaja kukufokea eti tusichoshane.
Usiku hakuna misongamano hivyo hakuna haja ya maskiMsisahau santaizaaa wakuu...
Na maski
![]()
Usiku wa valentine Kuna migongano na misuguano ya kutosha mkuu..Usiku hakuna misongamano hivyo hakuna haja ya maski
Ooh kumbe, nilisahau kuhusu hilo nilidhani wote wamekumbatia mito yao kama mimi!Usiku wa valentine Kuna migongano na misuguano ya kutosha mkuu..
Afta Dina.

😂😂😂Umeniambukiza kucheka....Sawa kiongozi sitarudia!
Chungulia Nnje kuna kibwengo apo 😂😂Ooh kumbe, nilisahau kuhusu hilo nilidhani wote wamekumbatia mito yao kama mimi!![]()
Kiambie kije tu ndani tukumbatiane maana na chenyewe kitakuwa kipweke kama mimi ndo maana kinazurura ovyo mitaani badala ya 'kuvalentine'Chungulia Nnje kuna kibwengo apo![]()
Cheka tu uongeze siku za kuishi ili mwakani upate wa 'kuvalentine' nayeUmeniambukiza kucheka....
Au kisa upweke......
Nimecheka 😅😅😅Kiambie kije tu ndani tukumbatiane maana na chenyewe kitakuwa kipweke kama mimi ndo maana kinazurura ovyo mitaani badala ya 'kuvalentine'
Hicho hicho ndo kinanifaa maana tutatandika jamvi chini tukumbatiane ili kisinivunjie chagaNimecheka
Naskia kina kichwa kikubwa kitajaza kitanda chote.