Kichwa Kichafu nahisi ww ni nyauba kama mie
..... Kuanzia saa sita unatamba ww tu
Ayubu 17:12
Ila haujaandikwa kama ulivyouandika.
Tuendelee kuongeza kipato ndugu zangu
Lei niko lindo mapema
Tutakuwa pamoja hadi wanipokee zamuKazi kwako boss
Nyauba ni popo. Kiufupi mchana nzi usiku popoMkuu Nyauba ni neno la Kiswahili?
Kwema lakini mkuu?
NzuriMama Mtumishi Popote Ulipo Habari Za Uzima?

Safi na salamaHamjambo walinzi wa hiyari
Mkuu niaje0000Hrs
15 - 02 - 2021
Here We Go!!!!!!!!!