B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,358
- 4,406
Kina mkuyenge pro-max kaa chonjo😅Hicho hicho ndo kinanifaa maana tutatandika jamvi chini tukumbatiani ili kisinivunjie chaga
Kina mkuyenge pro-max kaa chonjo😅Hicho hicho ndo kinanifaa maana tutatandika jamvi chini tukumbatiani ili kisinivunjie chaga
Mi sina shida nao, nachotaka ni kukumbatiana tuKina mkuyenge pro-max kaa chonjo![]()
VizuriMi sina shida nao, nachotaka ni kukumbatiana tu

Tafadhali usipige kelele, nimemuona yuko kwenye mfungo wa kuiombea kwaresma, ana siku ya tano wala hajatoka nnje.Namsaka mtu wangu jamani, aliyenionea Nleterewa Nganengo naomba anielekeze alipo maana Valentine hii kanikimbia![]()
Kusoma tena mkuu, yaani unataka nirudi tena darasani kuhangaika na somo jipya la historia ya Tz? Hapana hii elimu yangu ya KKK inanitosha kabisaVizuri
Karibu tujisomee,
Wewe ni mpenzi wa kusoma?
Hiyo kwaresma imekosa wa kuiombea mpaka iombewe na mlevi kama yeye? Huyo atakuwa kapata ka Valentine kapya hana loloteTafadhali usipige kelele, nimemuona yuko kwenye mfungo wa kuiombea kwaresma, ana siku ya tano wala hajatoka nnje.

Sio vitabu vya mitaala ya kishule.Kusoma tena mkuu, yaani unataka nirudi tena darasani kuhangaika na somo jipya la historia ya Tz? Hapana hii elimu yangu ya KKK inanitosha kabisa
Oooh kumbe, ni vitabu vyenye maudhui gani?Sio vitabu vya mitaala ya kishule.
Unaharibu utaratibuHiyo kwaresma imekosa wa kuiombea mpaka iombewe na mlevi kama yeye? Huyo atakuwa kapata ka Valentine kapya hana lolote![]()


ShwareSalaam wakulungwa
Novels, psychology, philosophy etcOooh kumbe, ni vitabu vyenye maudhui gani?
Unaharibu utaratibu![]()


Best hapa hapana utaratibu tunajiendea kipurure bila shaka umepachanganya na kule mwishoHapo kwenye novel na psychology utanipata!Novels, psychology, philosophy etc
Cha psychology kimoja,Hapo kwenye novel na psychology utanipata!
Babe wewe unalalaga saa ngapi?![]()
Naona kama asubuhi ishafika tayari