JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Duh noma sana [emoji3] me nikilala chini ya masaa 6 kesho yake lazima usingizi unikamate mchana.
Duh! Kulala kwangu ni anasa. Na kipindi hiki napenda sana kusafiri usiku ili nifike alfajiri.
 
Back
Top Bottom