active member2:00
[emoji13][emoji13]
😂😂 Gudi morningactive member
Kawimbo kengine please 😂😂😜Hhahahaha umejuaje kusoma ka akilii kangu ngoja
[emoji362]ugonile[emoji23][emoji23] Gudi morning
Watu Bado tunasubiri tutakiwe good night apa[emoji23][emoji23] Gudi morning
😂😂😂[emoji362]ugonile
😂😂😂😂 Kwa niaba wacha nikutakie "Goodnight mpendwa"Watu Bado tunasubiri tutakiwe good night apa
Acha kabisa alafu mtu unamuona online
au ni kamwene nisije nikakuacha unyamwezini huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana ubarikiwe at least uku nmepata moja nzuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa niaba wacha nikutakie "Goodnight mpendwa"
Kamwene Kuna ka umbali..ngoja nibaki kwenye ugonileau ni kamwene nisije nikakuacha unyamwezini huko
Amen.. tubarikiwe sote mpendwa wangu...Sasa waweza kulala😀Asante sana ubarikiwe at least uku nmepata moja nzuri
[emoji23][emoji23] Haka kawimbo sisikiagi neno jingine zaidi ya mama amina
Upo macho au unataka tu kunikondesha mwenzio, ngoja nikupe vituKawimbo kengine please [emoji23][emoji23][emoji12]
Ni nyege tu hizi zinakusumbua mkuu!.. ila asubuhi utakua poa.
Pande za wapi mnaenjoy kipupwe11:35
Upepo wapuliza mpaka nahisi baridi