JamiiForums Usiku wa manane
Ikiwa hivyo inabidi unajiuliza kimoyo moyo vipi walio maeneo ya hali ya hewa hizo ndio wanafanya tafiti nyingi za kuamasisha watu kunywa maji mengi.

Hivyo basi jitahiji sana na sana bila kijali hali ya hewa
Najitahidi, ila sometimes hali ya hewa inatuminya. Muda mwingine jua haliwaki, au linakuwa tulivu basi hamu ya maji unakosa
 
Back
Top Bottom