Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Karibu sana boss wangu jamvini
Me mgeni kwenye huu Uzi wenu
Me mgeni kwenye huu Uzi wenu
Man city thumbs up
Everton thumbs down
D was here.
0016
Naingia lindo
Wazee wa lindo mpoo??
Hapa nina sime matataTupo mkuu umekuja na sime au silaha gani kwa lindo?
Karibu mjengoni. Umekuja na silaha gani? Lindo lako kwa sasa litakuwa geti la Magharibi.Me mgeni kwenye huu Uzi wenu
Kama kawa kama dawa. Karibu sana bibieWazee wa lindo mpoo??
panga kikosi vizuri kwenye lindo la leoKaribu mjengoni. Umekuja na silaha gani? Lindo lako kwa sasa litakuwa geti la Magharibi.
Usikimbie mkulungwaHuku kwa mapopo pamoto
Hatukeshi sababu hatuna usingizi tunakesha kwa sababu ya ulinzi shirikishiLeo Sina usingizi wacha nijaribu kukesha