JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mimi huwa napata sana rahaa kuipiga piga vimakofi vya hapa na pale
Kama hili [emoji12][emoji12][emoji12]
1898015_Insta-image-3.jpeg.jpg
 
Nikilala hivyo naweza jikutana saa tano usingizi umepotea wote. Na nikilazimisha masaa yote hayo naweza umwa bure mbavu miss[emoji23]
2hrs machache mno, jitahidi uongeze.

Me tatizo uwa nawahi kulala, saa 3 usiku nishapotea usingizini. So ikifika kumi kasoro hivi au kumi na moja lazima niamke.
 
Back
Top Bottom