Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Usingizi umezingia sio. Kama vp tukeshe tuWalinzi wenzangu mnitumiege basi kawimbo kataam nilale![]()
Usingizi umezingia sio. Kama vp tukeshe tuWalinzi wenzangu mnitumiege basi kawimbo kataam nilale![]()
Siku hizi kweli unatepeta mapema kijanaYani watu 2230 wapo macho humu hawajalala![]()
See nowNipumzishe fuvu sasa
Kumbe kushakuchaGudi morning
Masaa yanakimbia kinoma. Kwema pande hizo?0531
12122020
Gudi morning
Masaa yanakimbia kinoma. Kwema pande hizo?
Mshale ndizi au silaha?Kama mshale boss
Mshale ndizi au silaha?
Pande hizi jana kulikuwa na mvua ya kishindo hadi mishe zimefail.Kwema kiongozi niaje kitaa hicho
Mshale ndizi wanasema ni ngumu ukipika itakuwa mshale silaha boss





Ana chura?Wewe Dada sijawa kukuquote Popote![]()
Mida hii kwangu sio rafiki kabisa, vp ww DepalHivi ninyi daily mnakatikiwa usingizi!! Kichwa Kichafu Drizzle