JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sijui nitaacha lini masihara, utani na mizaha mm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ndio maisha yangu simiss ila we mzee ngoja nikuache na kitendawili ni

"member wa JF ukitoa herufi mbili za jina lake unatapa jina la msanii wake pendwa huyo member" nipe jibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijui nitaacha lini masihara, utani na mizaha mm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila ndio maisha yangu simiss ila we mzee ngoja nikuache na kitendawili ni "member wa JF ukitoa herufi mbili zake mbili unatapa jina la msanii wake pendwa huyo member" nipe jibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushaniacha 😂😂 japo bango nimelipokea
 
Maisha ya humu JF [emoji23][emoji23] ni miyeyusho sana unaweza pata mfadhaiko wa moyo [emoji91][emoji91] acha nilale nimefurahi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila siku watu wakiacha utoto humu nazani na umasikini utaisha kabisa.

Hahahah, kwanini tena.
 
Movie zenye ni utoto utoto story za kufikirika sana na ni impossible kutokea hizo mambo.

Na ndiyo maana asilimia kubwa ya movies za marvel ni sci-fi (science fiction) hivyo mambo mengi yanayoongelewa mule hayana uhalisia, ukilielewa hili wala hautaumiza kichwa sijui oh marvel waongo sijui nini.

After all mimi bado sijaelewa kwanini watu wanataka kila kitu kwenye movie kiwe cha kweli, nini maana ya movie.
 
Nilijua lazima ungekuja hapa tu [emoji23][emoji23][emoji23] lakini juwa Mungu ndio kila kitu alafu technology ndio inafuata Quantum physics ni theory tunachezeana akili hapa.

Usiumie sana, cha kushangaza bado marvel ndiyo wana fanbase kubwa kuzidi hata hao dc.

Mfano endgame kwa sasa imeshika nafasi ya kwanza duniani katika list ya highest grossing movies yaani inakimbizana na movies za james cameron na hata kwenye top 10 asilimia kubwa ya movies zilizopo ni za marvel, lakini dc siwaoni kabisa aisee.
 
Na ndiyo maana asilimia kubwa ya movies za marvel ni sci-fi (science fiction) hivyo mambo mengi yanayoongelewa mule hayana uhalisia, ukilielewa hili wala hautaumiza kichwa sijui oh marvel waongo sijui nini.

After all mimi bado sijaelewa kwanini watu wanataka kila kitu kwenye movie kiwe cha kweli, nini maana ya movie.
Hahahaha, ila hizi za marvel ni utoto Fulani Hv, hivi hawana games zao nimnunulie Dogo

Ni nzuri ila kwangu zimekaa kitoto
 
Back
Top Bottom