MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,703
- 71,045
same t yuh[emoji3577]12:02
Saturday, Aug 1
Happy new month walinzi.
More blessings upon y'all
God is good [emoji123]0000 n
Alive
Njoo tupige kazinimekuja 0020 kulala lindoni.
Zzz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wote wapuuzi.Marvel wanaweza wakawa wapuuzi ndiyo, ila kwa vyovyote vile bado hawajawafikia DC kwa upuuzi.
Maisha ya humu ni raha sana mzee wangu mm nina nina miliki penthouse yangu ww unamiliki nn mzee wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah, kwanini tena mkuu.
Sio ukweli uhalisia uwepo kidogo zisiwe kama zile movie za kihindi unapaa paaa kama unamabawa [emoji23][emoji23][emoji23]Na ndiyo maana asilimia kubwa ya movies za marvel ni sci-fi (science fiction) hivyo mambo mengi yanayoongelewa mule hayana uhalisia, ukilielewa hili wala hautaumiza kichwa sijui oh marvel waongo sijui nini.
After all mimi bado sijaelewa kwanini watu wanataka kila kitu kwenye movie kiwe cha kweli, nini maana ya movie.
James Cameron usimzungumzie kabisa muweke pembeni maana akitoa hizo Avatar 2 na 3 dunia itasimama.Mkuu usiumie sana, cha kushangaza bado marvel ndiyo wana fanbase kubwa kuzidi hata hao dc.
Mfano endgame kwa sasa imeshika nafasi ya kwanza duniani katika list ya highest grossing movies yaani inakimbizana na movies za james cameron na hata kwenye top 10 asilimia kubwa ya movies zilizopo ni za marvel, lakini dc siwaoni kabisa aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zipo game zao mbona.Hahahaha, ila hizi za marvel ni utoto Fulani Hv, hivi hawana games zao nimnunulie Dogo
Ni nzuri ila kwangu zimekaa kitoto
Anakizazi kweli huyu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunawapa Hi