JamiiForums Usiku wa manane
Bado hujajibu swali bro.. mimi nataka nikuonyeshe kua sio michezo ya kufikirika. Ndio maana nimeanza na swali ndogo. Kwanini asgardian walikimbilia Kuishi Norway sio nchi nyingine kama Marekani ambapo thor anapendwa?
OK sijui kwanini walikimbilia huko, nipe maelekezo sasa kwani walienda huko?
 
Hahahaha, mie mwanzo nilisumbuka sana, nilipokuja kujua kumbe ,ni maisha ya kwenye keyboard
Maisha ya watt ndio wanaishi hivyo tulio komaa akili hatuwezi kuishi maisha yetu kwa kuwaimpress wakina fulani mm huwa natabasamu sana nikona haya mavitu
 
Back
Top Bottom