Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Your welcome champ.I am back
Your welcome champ.I am back
Asante mkuu,naona mambo sio mabayaYour welcome champ.
Aah wapi mambo ni zig zag tunaishi kiubishi maana kula hata pilau Jana ni connectionAsante mkuu,naona mambo sio mabaya


Pole sana MkuuAah wapi mambo ni zig zag tunaishi kiubishi maana kula hata pilau Jana ni connection![]()
Mambo magumu ndio maana pilau tunakula kwa connection.Pole sana Mkuu
Mtaani mambo magumu,mbwa wanalamba reliMambo magumu ndio maana pilau tunakula kwa connection.
Acha tu ndugu yangu tutafute plan B, C, D...Mtaani mambo magumu,mbwa wanalamba reli
HahahaAcha tu ndugu yangu tutafute plan B, C, D...
Huu muda ni mbovu sana mzee wangu mwaka ndio unaisha unexpected future hii hapaHahaha

Pole sanaLindo chungu leo, nilikuja kwa jirani huku sasa safari zimefutwa ghafla![]()
Pole sana.Lindo chungu leo, nilikuja kwa jirani huku sasa safari zimefutwa ghafla![]()
Panda hata ungo sisLindo chungu leo, nilikuja kwa jirani huku sasa safari zimefutwa ghafla![]()

Mwaka huu sijaona cha maana zaidi ya corona,umri unaenda mambo hayaendiHuu muda ni mbovu sana mzee wangu mwaka ndio unaisha unexpected future hii hapa![]()
Huu mwaka tumebakwa walio fanikiwa ni wachache sana maana hata hela za akiba zilitumika sana wakati wa Quarantine.Mwaka huu sijaona cha maana zaidi ya corona,umri unaenda mambo hayaendi

Ngoja nitafute wataaluma wa huu usafiri kweli😃😃Panda hata ungo sis![]()
Mwaka huu sijaona cha maana zaidi ya corona,umri unaenda mambo hayaendiHuu muda ni mbovu sana mzee wangu mwaka ndio unaisha unexpected future hii hapa![]()