donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
Nakula kitoko Tu hapa huku namuangalia Kurt Weller, Jane Doe, Zapata, rich.com
Baharia mbona kinyonge unaaga?Ulale salama Braza Super Villain
Nakula kitoko Tu hapa huku namuangalia Kurt Weller, Jane Doe, Zapata, rich.com
Aah nikiona hii kitu nakumbuka mnanda tu kukulia uswailini kuna raha yake.Tangazo tangazoo ndugu wananchiView attachment 1468010
Niambie ShinobiBaharia mbona kinyonge unaaga?
Gacaca,wewe jamaaa ni Mnyarwanda nini ?Kitaniharibia pozi ngoja nivute hadi saa 8 na kulia kwake
Umekuwa adimu sanaNiambie Shinobi
Mdau mimi nakesha sana hapa, sema tunapishana tu.Umekuwa adimu sana
Week iliyoisha sijakuona kabisa.Mdau mimi nakesha sana hapa, sema tunapishana tu.
Jana umeninawa sana mzee wangu

Jana umeninawa sana mzee wangu![]()



. Kwani huoti ndoto nyevu mzee? Nilikuwa nagonga like tu kimya kimya!Week iliyoisha sijakuona kabisa.
Age hiyo ilishapita kitambo sana. Kwani huoti ndoto nyevu mzee?
BTW, ilikuwa changamsha genge tu as usual
Sent using Jamii Forums mobile app




Ulikuwa kamisaa unaangalia game tu linayo kwenda.Nilikuwa nagonga like tu kimya kimya!
Nalikuwa nachungulia majukwaa mengine mengine!Ulikuwa kamisaa unaangalia game tu linayo kwenda.