Han Solo
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 462
- 1,079
Usiku wa manane ni usiku flani mkubwa, mida flani ya utulivu, kuanzia saa sita mpk saa 11.Hujajibu swali, usiku wa manane maana yake ni nini?
Usiku wa manane ni usiku flani mkubwa, mida flani ya utulivu, kuanzia saa sita mpk saa 11.Hujajibu swali, usiku wa manane maana yake ni nini?
Mkikuta uzi wa kula tunda kiasihara umeibiwa msitulaumu maana ni wazi leo bila kuwepo ninyi tutalala mapema.Leo litanoga kwa lazima
Ila ajira ikishazoeleza muda wa kazi we uko bar unagonga k vant😂😂Dah hatari sana,na kila unachoambiwa unafanya tu
Tunaanza kama ifuatavyo..Mkuu tuchat
Husomi hata mazingira tu mkuu? 😊Kuna nini?
Wenzio wameshaanza kuwaunga kitambo tuMida ya kuwanga inachelewa sana kufika dah
Saivi watoto wadogo ambao hawajaota meno hawajalala watanionaWenzio wameshaanza kuwaunga kitambo tu
Hahaha unaogopa kilio chao?😂😂Saivi watoto wadogo ambao hawajaota meno hawajalala wataniona