MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,453
- 69,340
Lord Vader...0116
Lord Vader...0116
aah hapo sawa nikajua ulikuwa unaangalia kama mpira vile.Nalikuwa nachungulia majukwaa mengine mengine!
Hivi hii star wars unaielewaga Kweli?Lord Vader...
Vizuri sanaHivi hii star wars unaielewaga Kweli?
Hahaha hapana kamanda.aah hapo sawa nikajua ulikuwa unaangalia kama mpira vile.
Darth vendor hata huwa simuelewi kabisa maana mpaka leo hawajampata tu.Vizuri sana
Unaweza ukawa ulikuwa unaangalia kama mieleka vileHahaha hapana kamanda.



Hahaha, baba mkwe wake han soloLord Vader...

Aliuliwa mbonaDarth vendor hata huwa simuelewi kabisa maana mpaka leo hawajampata tu.
Namba ngapi hiyo maana kila nikiangalia bado huwa nasikia habari zake majuzi nilikuwa naangalia kuna Channel walikuwa wanaonesha naoa bado wanamzungumzia tu maana Darth vendor toka akimbie sijaona tena akifa?Aliuliwa mbona
Vader alikufa zamani sana kwenye Return of the Jedi, hizi za saa hizi ni Flash Backs tu.Darth vendor hata huwa simuelewi kabisa maana mpaka leo hawajampata tu.
Duh ndio unalala hivyo!Usiku mwema nawapenda nyote.
Mimi huwa nasoma tu😂😂Unaweza ukawa ulikuwa unaangalia kama mieleka vile![]()
Basi nakazi yakufanya kuanza kuangalia na upya star warsVader alikufa zamani sana kwenye Return of the Jedi, hizi za saa hizi ni Flash Backs tu.

Vader nyang'au sana....Hahaha, baba mkwe wake han solo
Unatakiwa uwe unasalimia hata tujue kuwa upoMimi huwa nasoma tu![]()



Anza na The Phantom Menace, The Clone Wars, Revenge of the Sith, New Hope, Empire Strikes Back kisha Return of the Jedi. Hizi Force Awakens, Rogue One, Return of the Jedi na The Rise of Skywalker zitakuchanganya mkuu na huwezi kuzipenda 🤣🤣🤣🤣🤣Basi nakazi yakufanya kuanza kuangalia na upya star wars![]()
Kuna siku nakuta mnakuwa mmenogewa na mazungumzo, halafu unajua siyo vzuri kukatisha mazungumzo ya watu bwana. 😅😅😅😅Unatakiwa uwe unasalimia hata tujue kuwa upo![]()