Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,452
HahahahaMimi pia naona![]()
HahahahaMimi pia naona![]()
Kwenye msafara wa mamba kenge lazima watakuwepoHahahaha
Saa sita usiku mpaka saa 11 asubuhiKwani usiku wa manane ni saa ngapi?
Ni luku imeisha, leo tunalinda na vibatari, yule coki pesa ya umeme alisukia nywele.Umeme umekatika, imebidi tuwahi tusije wahiwa na wezi
Kwanini usiwe usiku wa masita? Au walimaanisha niniSaa sita usiku mpaka saa 11 asubuhi
Wahenga walikuwa miyeyusho sana...Kwanini usiwe usiku wa masita? Au walimaanisha nini
Mtalinda wanaumeNi luku imeisha, leo tunalinda na vibatari, yule coki pesa ya umeme alisukia nywele.
Kwani usiku wa manene maana yake niniKwanini usiwe usiku wa masita? Au walimaanisha nini
Nikajiuliza labda ni ajira mpya hivyo wana kimuhemuhe na kazi...😀😀Mimi pia naona![]()
Hahaha eti ajira mpyaNikajiuliza labda ni ajira mpya hivyo wana kimuhemuhe na kazi...![]()

Lindo bila wanawake halinogi..Mtalinda wanaume
😂😂😂 aiseeNikajiuliza labda ni ajira mpya hivyo wana kimuhemuhe na kazi...😀😀
Leo litanoga kwa lazimaLindo bila wanawake halinogi..
😀 😀 😀Hahaha eti ajira mpya![]()
Ma nane (8)Kwani usiku wa manene maana yake nini
Dah hatari sana,na kila unachoambiwa unafanya tu![]()
![]()
Ogopa kupata ajira baada ya miaka kadhaa ya msoto, yaani unaenda ofisini huku unaswaki ndani ya daladala.
Nilikuwa sijuiLindo bila wanawake halinogi..
Hujajibu swali, usiku wa manane maana yake ni nini?Ma nane (8)
Mkuu tuchatLeo mbona mmewahi, mna ajenda gani ya siri?
Halafu sungusungu huwa wanajisikia sana, akikupiga mkwara utadhani yeye ni JWTZ, kumbee...Hahahaha, Hawa sio walinzi ni sungu sungu wana ripoti serikali ya mitaa