JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Anza na The Phantom Menace, The Clone Wars, Revenge of the Sith, New Hope, Empire Strikes Back kisha Return of the Jedi. Hizi Force Awakens, Rogue One, Return of the Jedi na The Rise of Skywalker zitakuchanganya mkuu na huwezi kuzipenda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi hizi mpya ndio sielewi kabisa yani uelewa wangu umeishia kwa vendor alipo muuwa master wake ambaye alikuwa ni Samuel Jackson. Kuendelea hapo najionea mauzauza.
 
Ooh we ukikuta hivyo tia neno hapo hapo hiki ni kilinge kuna watu wanaongea humu hawapumziki wakianza [emoji23][emoji23][emoji23]
Ntajitahidi hivyohivyo mkali, japo mara nyingine huwa sielewi ambacho mnakuwa mnazungumzia na ID nyingi hata sizifahamu kabisa, zinakuwa active usiku tu🤣🤣🤣🤣
 
Ntajitahidi hivyohivyo mkali, japo mara nyingine huwa sielewi ambacho mnakuwa mnazungumzia na ID nyingi hata sizifahamu kabisa, zinakuwa active usiku tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] Yani ww inaonekana huwezi uvuragizi kabisa unaongea chochote tu [emoji4]
 
Back
Top Bottom