JamiiForums Usiku wa manane
Ndoto nyevu

Mambo ya Stephen Chelu hayo.
😀 😀 😀 😀
Hizo mambo kibindi cha balehe hadi kero, kila siku yaani. Nakumbuka kuna siku naota nawasha jenereta, sasa ikawa kila ninavyovuta ule mkanda najisikia rahaa...kuja kuamka, nishapiga show tayari😂😂😂😂
Siku hizi hamna tena hizo ndoto. Siku hizi kila siku unaota mara umetumbukia kwenye shimo la choo mara unafukuzwa na wachawi....yaani msoto kote kote, katika maisha halisi unapigika na kwenye ndoto vilevile 😀😀😀
 
Tangazo tangazoo ndugu wananchi
IMG-20200603-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom