Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,392
- 59,148
Mimi si utaniletea home eehItakuwepo pale Business [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si wajua kutembea kwangu adhabu🙄
Mimi si utaniletea home eehItakuwepo pale Business [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe unakesha mchumba?Ok babe
Hiyo kitu imetoka moyoniYani Mimi ndiyo kabisaaa...hata sijui nimewezaje kuandika vilee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuoga tena hapana aisee.Mkuu na ndoo za maji zipo pia ujue,
Jinsi keki inavyokua ndogo na ndoo ndo inavyokua kubwa
😂😂😂😂Umeandika vizuri Sana hadi Mimi ambaye bday hainihusu nimesisimka[emoji23]
Kwishney. Fanya mpango unipoteze [emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23] Upo season ya ngapi mpaka sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ile ni summary [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe unakesha mchumba?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaka tu chati.Hilo lipo wazi .. dogo punguza kuwa staki nataka japo hata miaka yako ulinidanganya. Mzuzu wote ule eti unatimiza miaka 19 [emoji23]
Wacha weeehhh...Hiyo kitu imetoka moyoni
Fanya fanya bhasi maana huez jua tunakuja na zawadi ganiMnataka mje mtie hasara tu nyie sio watu wazuri [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeandika vizuri Sana hadi Mimi ambaye bday hainihusu nimesisimka[emoji23]
Keki ipo subirieni tu [emoji23]Nasubiri keki ujue
Ulishaanza viswahili vyako engineer wangu.Siyo "Akhsante" sahihi ni "Ahsante" hasa ukiishia kwa "sukuun" huwa bora zaidi kwa mtu usie jua mshuko wa mwisho wa neno.
Sana[emoji23][emoji23] wish ya kibabe yaani makopa yote yameonekana
Nimekuchana leo humu humu yaani maana itikadi zako sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kaka tu chati.
Usijali itakufikia [emoji23]Mimi si utaniletea home eeh
Si wajua kutembea kwangu adhabu[emoji849]
Ndi zile za telenovela [emoji4][emoji4]Wacha weeehhh...