Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Hii iko poa sanaWalisema Id yangu ina fanana na ya kike, nikaona isiwe tabu, ngoja niwaridhishe waja, sasa nimo humu.
Hii iko poa sanaWalisema Id yangu ina fanana na ya kike, nikaona isiwe tabu, ngoja niwaridhishe waja, sasa nimo humu.
Huyu dogo anapenda attention wala usidanganyike 😂😂.. yaani unavyombembeleza ndo anaskia raha. Hiyo bday pare ipo ila atoe location tu Super VillainMwamba anasingizia mikusanyiko haitakiwi..besidei boi anazingua
Tuko pamoja.Hii iko poa sana
YeahLa kibishi bishi sio ? Inapendeza bibie.
Mkuu wengi wape 🤣🤣🤣Hilo bango ni la uchochezi
![]()
Hapana mkuu, hayo maneno ni ya ujenzi kabisa. Hebu soma vizuri mkuu




Hiyo ni vita mzee wangu.Ndio muamala wangu huoManeno hayatakiwi leo inatakiwa isome miamala tu saiz![]()

Au sio ? Wasi wasi wenu tu ulikuwa.Yeah
Hili limekaa kiume
😂😂😂😂Huyu dogo anapenda attention wala usidanganyike 😂😂.. yaani unavyombembeleza ndo anaskia raha. Hiyo bday pare ipo ila atoe location tu Super Villain
Nipo bado mchumba.
Karibu
Dogo nakujua staki nataka. Saint Anne usitishwe na haya maneno, kafungue threadNitakimbia humu ujue nitafuata hii ID mkifanya hivyo nyie![]()
Okeee..Tuko pamoja.
Hii ya Isabella?? Na watu ambao wapo enhanced
Nimepita kidogo, huwa kuna mrembo namvizia humu.Okeee..
Naona unakesha
Mimi nililizoea tuAu sio ? Wasi wasi wenu tu ulikuwa.



Upo season ya ngapi mpaka sasa?OkeeeNimepita kidogo, huwa kuna mrembo namvizia humu.
Tupia tu mamods wamelala sasa hivi😂😂😂😂
30+ eti