JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

🎶🎶 nilipo sikia nakupata nililia machozi ya furaha, ingawa sikua ready kukupata sina budi sasa kuitwa mama🎶🎶

new moma In town
0409+
mimba changa zinachosha jamni😪😪,, hapa nahisi kuchoka si kuchoka nguvu zimeniisha, ham ya kula sina yan mambo ni taflani,, ba mtu nae yupo porin bora angekuepo anikande tu miguu
 
Hivi wanawake wanakujaga bar bila hela kabisa?
Kuna wadada wa makamo watatu hapa pembeni yangu dakika 40 zinakatika hawajaagiza chochote. Wanaona kwangu vinywaji vinakuja non-stop wananichekea chekea wanafikiri mimi simp wa kutoa hela kijinga jonga tu.
 
Mkuu bado hazijashuka chini usiwe muongeaji
Hakikisha zikishuka chini ulete ushuhuda hapa
 
Back
Top Bottom