Hapa sasa ndiyo huwa unapoharibu.Ulishaanza viswahili vyako engineer wangu.
Lakini si umenielewa?
Nimeelewa ila unatuharibia neno letu sisi Waswahili.
Hapa sasa ndiyo huwa unapoharibu.Ulishaanza viswahili vyako engineer wangu.
Lakini si umenielewa?
Mimi bado nipoNasubiri ulale wewe kwanza!
Subirieni kumeza chloroquine [emoji23][emoji23][emoji23] kesho.Fanya fanya bhasi maana huez jua tunakuja na zawadi gani
Sasa fanya masihala kwenye location ya keki, uone tukifanikiwa kukupata utaoga kwa kiasi gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuoga tena hapana aisee.
Mimi bado nipo
Nasubiri kwa hamu mkuuIkifika yako nitakuandikia, usiambie mtu.
Utakuwa umefanya Jambo la maana sanaUsijali itakufikia [emoji23]
[emoji23][emoji23] kwa kweli maana mtoto wa kike ni wa kike tu. Ingekuwa kwa rank yangu isingeingia kumi boraSana
Imefunika Hadi wish yako
Wewe engineer na kiswahili wapi na wapi.Hapa sasa ndiyo huwa unapoharibu.
Nimeelewa ila unatuharibia neno letu sisi Waswahili.
😂😂😂😂😂Ndi zile za telenovela [emoji4][emoji4]
Dogo huko United Kingdom tutafika tuSubirieni kumeza chloroquine [emoji23][emoji23][emoji23] kesho.
HahahaTutakesha wote mchumba, inabidi nilinde mali zangu!
Mpaka kesho nakunyanyasa tu.Wewe engineer na kiswahili wapi na wapi.
Wewe ungesoma kiswahili ungeninyanyasa Sana
Nasubiri kwa hamu mkuu
Ni mwezi ujao, MUNGU atupe uzima.
Sawa engineerMpaka kesho nakunyanyasa tu.
0.0000014570911:08