Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Niko salama ,I have missed ya [emoji4][emoji4].
Mzima w
Naimani uko fresh pia
Niko salama ,I have missed ya [emoji4][emoji4].
Mzima w
😂😂😂😂Inabidi yna2 ahamishe hiyo wish yake iwe Uzi maana imejitosheleza..
Sidhani, tunasema mazoea mabaya sana.Mimi nililizoea tu
Ila ulikuwa hauendani nalo ujue[emoji3]
Sawa..naanza sasaTupia tu mamods wamelala sasa hivi
Keki ipo tulieni kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si unaona ananisogezea hilo jukumu la kutoa muamala. Oy wee Super Villain toa location watu tuje kula cake
Alishanikatisha tamaa.Dogo nakujua staki nataka. Saint Anne usitishwe na haya maneno, kafungue thread
Kama kawaida lazima niwinde, maisha bila mawindo si maisha.Okeee
Vizuri..
Upo mawindoni sio?
Bonge la nyimbo [emoji91][emoji2510]View attachment 1463090
Yeah japo nakuona cool sana leoNiko salama ,
Naimani uko fresh pia
Comment uliyomuwish nimeisoma nikasisimka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kafungue Uzi usimfanyie ivyo bdei boi jamani
Kweli nasingiziwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm ni mtoto leo nawezaje kufanya hayo makubwa sasa?Nakupiga faini wewe
Bonge la nyimbo [emoji91][emoji91][emoji562]Something new [emoji3575]Wiz View attachment 1463091
Safi SanaKama kawaida lazima niwinde, maisha bila mawindo si maisha.
😂😂😂 pole sanaAlishanikatisha tamaa.
Kiherehere changu chore kimeniisha[emoji23][emoji23]
Yesu wangu😂😂😂😂Comment uliyomuwish nimeisoma nikasisimka.
Fanya kuifungulia uzi
We mkali, unajua nyimbo boss, share na playlist yako Leo walinzi tule ngoma kidogo [emoji123]Bonge la nyimbo [emoji91]
Kwahiyo ni stunt nafanya sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu dogo anapenda attention wala usidanganyike [emoji23][emoji23].. yaani unavyombembeleza ndo anaskia raha. Hiyo bday pare ipo ila atoe location tu Super Villain
Huu sasa ndiyo unaitwa uungwana.Safi Sana
Ngoja nikuache uwinde