simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Sawa ila toa lokesheni mapema si unanijua mida yangu ya kupumzisha hii kichwaKeki ipo tulieni kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa ila toa lokesheni mapema si unanijua mida yangu ya kupumzisha hii kichwaKeki ipo tulieni kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akhsante [emoji18][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii league naona sishindi kabisa wote mnanikataa kha!Mkuu wengi wape [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waleteeee mzee ahh leo walinzi tubanjuke tuEyoo Singida Dodoma, oooh I wish ungemwona... anavyotetemesha hatari zaidi ya transformer.
Ngwair [emoji442]
Mkuu na ndoo za maji zipo pia ujue,Keki ipo tulieni kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya kuihamisha ile.Yesu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona aibu Mimi..mfungulie bwana
Roho mbaya hizi unaleta ujue [emoji23][emoji23]Ndio muamala wangu huo[emoji3]
Hilo lipo wazi .. dogo punguza kuwa staki nataka japo hata miaka yako ulinidanganya. Mzuzu wote ule eti unatimiza miaka 19 😂Kwahiyo ni stunt nafanya sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani Mimi ndiyo kabisaaa...hata sijui nimewezaje kuandika vileeFanya kuihamisha ile.
Mimi siwezi kuandika vizuri vile
Akhsante..Huu sasa ndiyo unaitwa uungwana.
Karibu tena.
Nasubiri keki ujueRoho mbaya hizi unaleta ujue [emoji23][emoji23]
Mkuu ile ni summary 🤣🤣🤣Comment uliyomuwish nimeisoma nikasisimka.
Fanya kuifungulia uzi
Umeandika vizuri Sana hadi Mimi ambaye bday hainihusu nimesisimka[emoji23]Yani Mimi ndiyo kabisaaa...hata sijui nimewezaje kuandika vilee
Siyo "Akhsante" sahihi ni "Ahsante" hasa ukiishia kwa "sukuun" huwa bora zaidi kwa mtu usie jua mshuko wa mwisho wa neno.Akhsante..
[emoji23][emoji23] wish ya kibabe yaani makopa yote yameonekanaComment uliyomuwish nimeisoma nikasisimka.
Fanya kuifungulia uzi
Ni ngumu sana yangu acha tu nitakupa.We mkali, unajua nyimbo boss, share na playlist yako Leo walinzi tule ngoma kidogo [emoji123]
Hiyo itakuwa nyingine. Hiyo ya machalii 100 kutoka sky wakapelekwa kwa groundHii ya Isabella?? Na watu ambao wapo enhanced
Mnataka mje mtie hasara tu nyie sio watu wazuri [emoji23][emoji23][emoji23]Sawa ila toa lokesheni mapema si unanijua mida yangu ya kupumzisha hii kichwa