Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Kwani mkuu unataka majibu yaje wakati huo huo unapoomba?Hii tulishaiombea three days lakini naona kama vile haisikiii maombi
Kwani mkuu unataka majibu yaje wakati huo huo unapoomba?Hii tulishaiombea three days lakini naona kama vile haisikiii maombi
Kuna maombi ya dharura ujue ndio kama haya sasaKwani mkuu unataka majibu yaje wakati huo huo unapoomba?
Mkuu lakini huyo umuombaye anajua kuwa hii ni dharura au ni jambo la mpitoKuna maombi ya dharura ujue ndio kama haya sasa
Ni kweli kabisa ila kwa hili itabidi kuongeza nguvuMkuu lakini huyo umuombaye anajua kuwa hii ni dharura au ni jambo la mpito
Sio kitu rahisi kama tunavyo dhani![]()
Tufanye hivyo kabisa. Sasa nashauri tufunge lindo au unasemaje?Ni kweli kabisa ila kwa hili itabidi kuongeza nguvu
Weylyn uende church kama upo machoNdio si rahisi lakini kulitokea na deadly disease zaidi hii na zimethibitiwa kwa vaccine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo tu nyumbani hamna kutokaHapo nimekusoma. Kwa hiyo leo ratiba ikoje mpendwa Weylyn
Kwani lindo linaisha lini mkuu?Nimeoteshwa kuna Wana lindo watakuja kufunga ndoa baada ya lindo kuisha, Naendelea na maombi bado
mimi mzima nilipitiwa na usingizi
Au ndio self isolation, unaogopa kutoka?
Au ndio self isolation, unaogopa kutoka?
Pole sana. Ila punguza woga maana ni ugonjwa mbaya kuliko hata COVID-19 yenyewe. Mathalani ninaishi maisha yangu ya kawaida kabisa pia sihangaiki na vyombo vya habari.Natoka nje kwenda dukani ikinibidi
Kuogopa lazima kila nikitembea nje huko barabarani nakua sina amani
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante vipi kuhusu social media unafanyaje ?Pole sana. Ila punguza woga maana ni ugonjwa mbaya kuliko hata COVID-19 yenyewe. Mathalani ninaishi maisha yangu ya kawaida kabisa pia sihangaiki na vyombo vya habari.
Bahati mbaya mimi si mtu wa social media ukiondoa WhatsApp na JF hunipati kwingine. Pia nakuwa busy na majukumu kiasi kwamba sometimes nasahau hata JF kwa siku 2 au 3. Hivyo nimejipanga vyema kuhakikisha taarifa inayonifikia hainishtui.Asante vipi kuhusu social media unafanyaje ?
Naelewa hofu ni mbaya kila siku nilikuwa naangalia video youtube za wagonjwa na kucheki new cases it's has been four days sijaangalia .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh hongera mimi simu ndio rafiki yangu nipo Twitter ambapo naona iko very toxic , Instagram pia nipo .Bahati mbaya mimi si mtu wa social media ukiondoa WhatsApp na JF hunipati kwingine. Pia nakuwa busy na majukumu kiasi kwamba sometimes nasahau hata JF kwa siku 2 au 3. Hivyo nimejipanga vyema kuhakikisha taarifa inayonifikia hainishtui.
Hizo Twitter sijui Instagram nazisikia tu. I'm very old fashioned guy 😀😀. Najiona mambo yamekuwa mengi kuliko muda so I have to control myself.Ooh hongera mimi simu ndio rafiki yangu nipo Twitter ambapo naona iko very toxic , Instagram pia nipo .
Sent using Jamii Forums mobile app