JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hapana ni sawa kuwa hivyo , na haupo old fashioned kisa hicho .
Kama mimi sina kazi kutwa nipo online na ni mbaya .
Hizo Twitter sijui Instagram nazisikia tu. I'm very old fashioned guy [emoji3][emoji3]. Najiona mambo yamekuwa mengi kuliko muda so I have to contribute myself.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana ni sawa kuwa hivyo , na haupo old fashioned kisa hicho .
Kama mimi sina kazi kutwa nipo online na ni mbaya .

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukweli a very best friend of mine ambaye najua hawezi nisaliti ni music. Hata niwe na kazi ngumu namna gani music ndio unanisidia kupata some ideas na kazi ikawa nyepesi
 
Frank edwards ft chee - here to sing

Called out music - my prayer

Whitney houston - i look to you

Whitney - i didnt know my own strength

Simi - Ayo....

Huwa napenda kuskiiza sometimes
Ayo wimbo wangu pendwa wa muda wote..nimetoka kuusikiza muda si mrefu
Nitazicheki na hizo ulizoniorodheshea.
Ingawa napenda pia kusikiza way maker ya sinach
My trust in you ya David G
Wimbo wa kuabudu moyo by Patrick
Great are you Lord ya sinach
Tutafika salama ya Beatrice mwaipata
Naiona kesho ya Martha mwaipaja
My beautifier ya Chris shalom
 
Back
Top Bottom