My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,602
- 11,885
Ndio Tupo
Eeh nilitaka ujue kua na mm ni moto wa kuotea mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hukutaka kuchelewesha kabisa ukaamua uniite kabisa kwamba nitachelewa kuja dah we kiboko [emoji91]
Ahsante..Nina msululu Sasa sijui nikushirikishe lipi🤔
Haya bhana usije fika saa 7 ukanza kunipa lawa mm utakuwa umenionea tu sina kosa mm [emoji23][emoji23]Ewaaaah...hicho ndicho ulichokisahau Sasa.
Tunafata ushauri wa mkuu Jiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huwa mkisema hivi lazima nicheke sasa.
😂😂 Mimi nawewe hatulaumianiHaya bhana usije fika saa 7 ukanza kunipa lawa mm utakuwa umenionea tu sina kosa mm [emoji23][emoji23]
Kuna kazi nitakupa hiyo ndio itakufaa sana [emoji4]Eeh nilitaka ujue kua na mm ni moto wa kuotea mbali
Ambalo unalipa kipaumbele linakupa ugumu wa kulishindaAhsante..Nina msululu Sasa sijui nikushirikishe lipi[emoji848]
Uniombee covid19 isinipate.
Jiwe anautaalamu gani ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunafata ushauri wa mkuu Jiwe
Nimeoteshwa kuna Wana lindo watakuja kufunga ndoa baada ya lindo kuisha, Naendelea na maombi bado
Naenda kwa session
Ndoto zako ni za kweli ?Nimeoteshwa kuna Wana lindo watakuja kufunga ndoa baada ya lindo kuisha, Naendelea na maombi bado
Asante sana na mm nilitaka nishangae unawezaje nitupia lawa tena [emoji23][emoji23][emoji23] Mimi nawewe hatulaumiani
Uniombee covid19 isinipate.
Mambo ni moto [emoji23][emoji23][emoji23]
Very well, you?
Umeadimika...
Iwahishe babu leo nina jezi ya yanga imetimia 5/5Kuna kazi nitakupa hiyo ndio itakufaa sana [emoji4]