JamiiForums Usiku wa manane
Ayo wimbo wangu pendwa wa muda wote..nimetoka kuusikiza muda si mrefu
Nitazicheki na hizo ulizoniorodheshea.
Ingawa napenda pia kusikiza way maker ya sinach
My trust in you ya David G
Wimbo wa kuabudu moyo by Patrick
Great are you Lord ya sinach
Tutafika salama ya Beatrice mwaipata
Naiona kesho ya Martha mwaipaja
My beautifier ya Chris shalom

Ayo nilikuwa naiskiiza kila asubuhi hadi watu wakawa wanaboreka 😂.
hizo zingine baadhi ninazo na ntatafuta ambazo sina..
Shukrani beautiful and get well soon
 
hivi hii picha ninayoiona hapa kila saa kabla sijafungua huu uzi ni ya nani ??
Screenshot_20200426-103707.jpg
 
Last wed nmepishana na mzee town jooni anaenda lindo kabeba kakirungu kafupi,
Ghafla nikamkumbuka mwingine nmewahi kumuona mtaani saa12 alfajiri anarudi lindo anakarungu kadogo mno hata mtt hakamtishi
Nikajikuta nacheka barabarani
 
Last wed nmepishana na mzee town jooni anaenda lindo kabeba kakirungu kafupi,
Ghafla nikamkumbuka mwingine nmewaho kumuona mtaani saa12 alfajiri anarudi lindo abakarungu kadogo mno hata mtt hakamtishi
Nikajikuta nacheka barabarani
😂😂 lile la kipepe unalijua?
 
Back
Top Bottom