Morning Groly au? 😂😂Ina maana hujui kuwa huu ndio muda wake au unanizuga?
Atakuja ngoja tumpe muda kidogoAmekuwa mvivu mno, sijui anakitambi!! 😂
Mrembo shikamooMuda so mrefu atapita kugawa likes Hahahaa Mjep usinipite
Nawezaje kurudia kosa tena??Elli Mshana usijesema sikukushtua. Wakati umetaradadi usije leo ukaua mtu kwa kukosa daku kama jana
😂😂😂😂 nilivyoona kimya nikajua utakuwa unaufinya mkuuNawezaje kurudia kosa tena??
Nilipanda mlimani kwenye maombi ndugu yangu😂😂😂😂 nilivyoona kimya nikajua utakuwa unaufinya mkuu
Na sisi ulitukumbuka mkuu?Nilipanda mlimani kwenye maombi ndugu yangu
Nilianza na wale watukutu woteNa sisi ulitukumbuka mkuu?
COVID-19 ulimweka kwenye kundi lipi?Nilianza na wale watukutu wote
Hii tulishaiombea three days lakini naona kama vile haisikiii maombiCOVID-19 ulimweka kwenye kundi lipi?