Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,357
- 100,377
Tena na mwingine ataachwa
Tena na mwingine ataachwa
Ameen Kaka mchungaji.Hapo tahadhari ni muhimu kwa kusikiliza wataalam wa afya pia kwenye maombi nitaliweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe ni fundi sana mkuuJiwe anautaalamu gani ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah [emoji39] Ramadhani hii mbona itanitakia ubaya lakini mm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iwahishe babu leo nina jezi ya yanga imetimia 5/5
Simiss akija nishtue[emoji6]
HahahahaJiwe ni fundi sana mkuu
Kamaliza maambukizi ya covid Tz
Katoa fursa ya uuzaji wa tangawizi na limau..
Bado najifukiza ntarudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unanifurahisha sana ujue dah.Jiwe ni fundi sana mkuu
Kamaliza maambukizi ya covid Tz
Katoa fursa ya uuzaji wa tangawizi na limau..
Bado najifukiza ntarudi
Mida ya futru si unaijua[emoji38][emoji38][emoji38]Dah [emoji39] Ramadhani hii mbona itanitakia ubaya lakini mm [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napokea Baraka katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth..Ameen.
Wallah naziona kufuru zako kabisa hizi [emoji23][emoji23][emoji23] nitaanza kufunga na mm week ijayo.Mida ya futru si unaijua[emoji38][emoji38][emoji38]
Sio kitu rahisi kama tunavyo dhani [emoji22]
Acha uvivu usisubiri watu wakuombe jiombe na ww mwenye [emoji41]Napokea Baraka katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth..Ameen.
Umepika daku
Kulikoni tena huko??
Nilijua tu..najiombea bwana hata hivyo usisahau kuniweka kwenye maombi ya matatizo yangu yaleee.Acha uvivu usisubiri watu wakuombe jiombe na ww mwenye [emoji41]
Amani ya bwana iwe naweNapokea Baraka katika Jina la Yesu Kristo wa Nazareth..Ameen.