Wako wapi mzee 😂😂Bado sana,nawaona wengi tuu!
Hii ni team moja. Nishajua utakuwa unakula daku kimya kimya ili tusijue mzee0427...Kamanda wa vita hutakiwi kusomeka! Adu atakuvizia na kukuangamiza.
Karibu..0435hrs
Ina maana hujui kuwa huu ndio muda wake au unanizuga?😂😂😂😂.halftime ya nini?
Kweli mkuu usitusahau na sisi tulio lindoni