simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
[emoji38][emoji38][emoji38]kukaa nae Lindoni
mnahangaika sana vijana..
chukua seat ukae kwenye kikao cha wanaume or haupo comfortable 😊😊
[emoji38][emoji38][emoji38]kukaa nae Lindoni
[emoji23][emoji23][emoji23] Acha uwoga ww.
Braza mbona hata katuni ya The Thimpsons mwaka 1997 walisema Trump angekuwa Raisi na kweli mwaka 2016 akawa Raisi ?Yeah ni kweli.Ditko, kirby na Stan...
Ila mkuu vitu vingine ni ngumu sana kutunga. Mfano Iron man imetungwa/chapishwa 40s kipindi hicho teknolojia sio kubwa sana ya Comp.
Artificial intelligence bado ipo Primitive mno ila jamaa katunga kitu kama cha miaka hii (Japo ilikua updated kutokana na teknolojia)
Hua nawaza Stan alikua anatoa wapi mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji848][emoji848][emoji848]For Rowin I will tell her all about it when she’s awake
Aisee Hivi unamjua Ramin Djwadi.? Anakuzwa au ni uwezo binafsi maana wanamtumia sana waandaaji wa muviItalian and German music are sophisticated.
Kuna huyu mzee anaitwa Ennip Morricone ni composer wa hatari sana kutoka Italia.
Yeye ndiyo amecompose zile nyimbo za kwenye movie ya The Good, The Bad and The Ugly.
[emoji38][emoji38][emoji38]Hiyo yako ilikuaje hembu tupe Ma-experience MzeeHujawahi kutana na skendo za jf bro.. kwanza views zinatembea faster sana hata kama ni asubuhi weekdays af hata ujitetee vipi kuna raia kuwashawishi ni ngumu
Everyone has... lakini usikubali yakaja kuwa ni madhaifu yako.Siwezi acha uoga ..nna dark side
His notable works please!!!Aisee Hivi unamjua Ramin Djwadi.? Anakuzwa au ni uwezo binafsi maana wanamtumia sana waandaaji wa muvi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1]wala hakun mhangaikaji hapamnahangaika sana vijana..
chukua seat ukae kwenye kikao cha wanaume or haupo comfortable [emoji4][emoji4]
Braza mbona hata katuni ya The Thimpsons mwaka 1997 walisema Trump angekuwa Raisi na kweli mwaka 2016 akawa Raisi ?
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Everyone has... lakini usikubali yakaja kuwa ni madhaifu yako.
The Children (GoT soundtrack )His notable works please!!!
Don't underestimate the human brain.....Mkuu mm siamini kama hawa watu hutumia akili zao kutunga hvi vitu. Time travelling inahusika labda..
Mwisho tutadiskas conspiracy theories. Ial the Simpson ina mkanganyiko sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1]wala hakun mhangaikaji hapa
Kwanini nisiwe Comfortable mzee ??
Kuna la kujifunzaMkuu mm siamini kama hawa watu hutumia akili zao kutunga hvi vitu. Time travelling inahusika labda..
Mwisho tutadiskas conspiracy theories. Ial the Simpson ina mkanganyiko sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi chukua maamuzi magumu tu [emoji23][emoji23] mzee wangu.Dunia ina mambo mengi na mengine hujawahi kuyasikia wala kuyaona.. nimechukua ushauri wako pia budaa
Anhaa sijawahi kumsikiliza maana hata hizo series sijaziangalia kivileee.The Children (GoT soundtrack )
Prison Break sound track
Westworld sound track nk nk..
Watu wa muvi humtumia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi chukua maamuzi magumu tu [emoji23][emoji23] mzee wangu.
[emoji15]Ushaenda mbali dogo [emoji23][emoji23]. Sipo huko
Kuna la kujifunza
Sijaenda deep kabisaaa kuhusu the so called Time traveling
Wanatumia nini kufanikisha Hilo ?? If it is truly Existing