JamiiForums Usiku wa manane
Hivi watunzi wa haya mambo hua wanajitungia tu au kuna motive behind. Maana sidhani kama nikipaji tu cha kutunga..

Sent using Jamii Forums mobile app
😃😄😃😄😃😄😃😄😀😃😄😃😄😄
Hili sifahamu braza lakini nachofahamu comics za Marvel na DC zilitengenezwa na watu ambao walikiwa ni marafiki kwa nyakati tofauti hivyo wameigana sana. Characters wengi sana wametolewa kwenye Greek, Norse, Egyptian, Irish and Germany forklore.
 
Yeah ni kweli.Ditko, kirby na Stan...
Ila mkuu vitu vingine ni ngumu sana kutunga. Mfano Iron man imetungwa/chapishwa 40s kipindi hicho teknolojia sio kubwa sana ya Comp.
Artificial intelligence bado ipo Primitive mno ila jamaa katunga kitu kama cha miaka hii (Japo ilikua updated kutokana na teknolojia)
Hua nawaza Stan alikua anatoa wapi mawazo

Hili sifahamu braza lakini nachofahamu comics za Marvel na DC zilitengenezwa na watu ambao walikiwa ni marafiki kwa nyakati tofauti hivyo wameigana sana. Characters wengi sana wametolewa kwenye Greek, Norse, Egyptian, Irish and Germany forklore.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bastard of the North
FB_IMG_15877610333062401.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee..
Kama namsikiliza Wolfgang Mozart..
Watu wamejaliwa sauti asee

Sent using Jamii Forums mobile app
Italian and German music are sophisticated.
Kuna huyu mzee anaitwa Ennio Morricone ni composer wa hatari sana kutoka Italia.

Yeye ndiyo amecompose zile nyimbo za kwenye movie ya The Good, The Bad and The Ugly.
 
Back
Top Bottom