JamiiForums Usiku wa manane
Ila kweli akili ya binaadamu ni infinity (?) Sitaki kuamini ni fikra za watu ndio zimefanya mm nawe twawasiliana hapa
Don't underestimate the human brain.....
Newton aliwahi sema baadhi ya concepts kwenye physics kuhusu sumaku na mawimbi ya nje ya dunia (Outer Space) miaka hiyo lakini miaka kama minne sasa wamethibitisha ni kweli alichokisema zaidi ya miaka 100 iliyopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • FB_IMG_15877615280791353.jpeg
    FB_IMG_15877615280791353.jpeg
    36.5 KB · Views: 5
Yeah Mkuu wapo. Am not among them
95% ya watu wanaonizunguka ni men wenzangu kwa Phone Contanct wanawake hawazidi 8

😂😂
sikumaanisha kwa ubaya..usije anza kujidefend .. nilichomaanisha ni kuwa unaweza kujifunza au kupata kitu kutoka kwa mtu yoyote unaemuona

Contacts zangu sijawahi hata count asilimia ila possibly zipo hata 60 kwa 40
 
Ila kweli akili ya binaadamu ni infinity (?) Sitaki kuamini ni fikra za watu ndio zimefanya mm nawe twawasiliana hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna watu ambao wana upeo mkubwa sana wa akili ambao hata mimi na wewe hatuwezi kufikiri katika kiwango hicho. Kwao wao ni kawaida sana, yaani your highest level of thinking kwao wao ndiyo just a common sense.

Mimi namfahamu mtanzania aliyekuwa na uwezo wa kuandika kwa mikono miwili kwa wakati mmoja. Uwezo wake ulikuwa siyo wa kawaida darasani. Lakini waliondoka naye mapemaaa sanaaa wakapeleka nje na sijawahi sikia tena kuhusu yule jamaa tangu tuko sekondari hadi leo.

Zamani ukisoma shule za vipaji maalum ulikuwa unakutana na watu wana akili za ajabu mno. AU ukibahatika kusoma nje kwenye Global Universities unaweza ukaogopa akili za watu
 
Ooohky, Kama ni Possible Spiritually. Ni more mental time traveling inao fanyika
I don't know dejavu, what is that ?
De javu ni hali ya kua sehem fulani ukawa unahisi hayo maeneo ushawahi fika na kila kitu unachofanya au kuongea unaona kinajirudia..
Kiufupi ni kwamba unakua umeshafanya time travelling. Nafsi yako ilifika kabla ya mwili kufika.
 
Mkuu kuna watu ambao wana upeo mkubwa sana wa akili ambao hata mimi na wewe hatuwezi kufikiri katika kiwango hicho. Kwao wao ni kawaida sana, yaani your highest level of thinking kwao wao ndiyo just a common sense.

Mimi namfahamu mtanzania aliyekuwa na uwezo wa kuandika kwa mikono miwili kwa wakati mmoja. Uwezo wake ulikuwa siyo wa kawaida darasani. Lakini waliondoka naye mapemaaa sanaaa wakapeleka nje na sijawahi sikia tena kuhusu yule jamaa tangu tuko sekondari hadi leo.
Impressive
 
sikumaanisha kwa ubaya..usije anza kujidefend .. nilichomaanisha ni kuwa unaweza kujifunza au kupata kitu kutoka kwa mtu yoyote unaemuona

Contacts zangu sijawahi hata count asilimia ila possibly zipo hata 60 kwa 40

Hahahahh hatari kaka
Binadamu tuko so diverse
Naona Uko mbioni kuangusha Lindo
 
Mkuu kuna watu ambao wana upeo mkubwa sana wa akili ambao hata mimi na wewe hatuwezi kufikiri katika kiwango hicho. Kwao wao ni kawaida sana, yaani your highest level of thinking kwao wao ndiyo just a common sense.

Mimi namfahamu mtanzania aliyekuwa na uwezo wa kuandika kwa mikono miwili kwa wakati mmoja. Uwezo wake ulikuwa siyo wa kawaida darasani. Lakini waliondoka naye mapemaaa sanaaa wakapeleka nje na sijawahi sikia tena kuhusu yule jamaa tangu tuko sekondari hadi leo.
Hapo ndipo hua naamini kweli bijaadamu ana uungu ndani yake (kutokana na pumzi ya uhai toka kwa Mungu) ila tumetofautisna Karama..Ndio maana napingana na wanaosema Time travelling ni impossible.

Hamkuwahi fuatilia taarifa hata kwa familia..?
 
Back
Top Bottom