Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Uwe na Usiku mwema.Jamani me naondoka Mungu akipenda tutaonana hapa siku nyingine
Lindo njema mnaobaki.![]()
Uwe na Usiku mwema.Jamani me naondoka Mungu akipenda tutaonana hapa siku nyingine
Lindo njema mnaobaki.![]()



Ushachukua ajira ya kuwa Bodyguard wake sio 
Mshaambiwa msisikilize hizo habari ndio zinawapa kiwewe. Mathalani naishi kama hakuna kitu. Nachukia tu kuvaa hizo mask tu. Otherwise maisha yangu yapo normal.Furaha inatoka wapi wakati kuna corona mzee wangu![]()
SayI got so much things to say 🤫
Njoo chobingo tuage mnoko Super Villain asijue nakuagajeJamani me naondoka Mungu akipenda tutaonana hapa siku nyingine
Lindo njema mnaobaki.![]()
Mkuu unaacha Mali iende 🤔🤔🤔
Ukweli mm mwenye sipendi kuvaa mask na ndani ninazoMshaambiwa msisikilize hizo habari ndio zinawapa kiwewe. Mathalani naishi kama hakuna kitu. Nachukia tu kuvaa hizo mask tu. Otherwise maisha yangu yapo normal.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
MtapewaKesheni mkiomba

Asante bossHiki kijiwe siku hizi kinatufanya tuugeuze usiku kuwa mchana. Karibu ujumuike barazani
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk

Mjomba kwani kuna shida?Ushachukua ajira ya kuwa Bodyguard wake sio
![]()
Sina Sixpack mm kimbau mbau mmoja hivi lakini kwaji yako naweza kuwa sharuk khan ghafla nikapambana.









I see. Yaani unakuwa hata hupumui vizuri. Ni kama vile kutumia net za kuzuia mbu. Nakosa amani kabisa.Ukweli mm mwenye sipendi kuvaa mask na ndani ninazo
Jamani me naondoka Mungu akipenda tutaonana hapa siku nyingine
Lindo njema mnaobaki.![]()
![]()
Nipo hapa kwa ajili ya ulinzi shirikishi
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk


