JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kitu imesogezwa mpaka 2021 na Eternal pia..Black widow November
FB_IMG_15877529902017538.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hii campaign yako bado ujaacha toka jana unataka kunitenganisha na Goddess subira snap zako mzee ulie [emoji23][emoji23][emoji23]

Ukitoa zile snap unakula block kila sehemu. Af inafunguliwa new ID itakayokupa scandle moja matata , issue kama "kuweni makini na mr x, anaambukiza ukimwi makusudi" 😂😂

Ntakuwa nimemaliza kazi
 
Ukitoa zile snap unakula block kila sehemu. Af inafunguliwa new ID itakayokupa scandle moja matata , issue kama "kuweni makini na mr x, anaambukiza ukimwi makusudi" [emoji23][emoji23]

Ntakuwa nimemaliza kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haita saidia hiyo nauwezo wa kugeuza ukweli kuwa uwongo na uwongo kuwa ukweli kama mawakili wanavyofanya mahakamani vile.
 
Back
Top Bottom