JamiiForums Usiku wa manane
Impressive
Jamaa yangu mmoja tulikuwa naye, yeye huku Tanzania alikuwa kwenye top 3 NECTA, akaenda Marekani kusoma Engineering. Hakuwahi kushika nafasi za juu darasani kwao hata siku moja. Alianiambia kuna watu amekutana nao wana akili sanaa hata yeye anaogopa. Sasa anakwambia karibia nusu ya darasa walibaki Marekani akiwemo huyo jamaa yangu. Acha kabisa mzeee
 
Ni special huyu mwana gifted kabisa.
 
Mkuu kuna watu ambao wana upeo mkubwa sana wa akili ambao hata mimi na wewe hatuwezi kufikiri katika kiwango hicho. Kwao wao ni kawaida sana, yaani your highest level of thinking kwao wao ndiyo just a common sense.
Hahahahh nimecheka Sana Mkuu
Hawa watu tunaweza kua nao kweli kwenye normal life ?? Inaonekana ni wachache mnoo eeeh??
 
Hapo ndipo hua naamini kweli bijaadamu ana uungu ndani yake (kutokana na pumzi ya uhai toka kwa Mungu) ila tumetofautisna Karama..Ndio maana napingana na wanaosema Time travelling ni impossible.

Hamkuwahi fuatilia taarifa hata kwa familia..?
Unajua shida inakuja wapi Da Vinci ? Wanadamu huwa tunapenda kudanganyana sana kwamba wote ni wabunifu. Nakuhakikishia watu wabunifu duniani ni asilimia chache mno, wengi wetu tunakuwa na elimu na ufahamu lakini uwezo wa kubuni vitu ni Trait ambayo watu wachache sana wanayo.

Watu kama hawa hawaiangalii dunia kama ambavyo mimi na wewe tunaitazama huwa wanakuwa tofauti kabisa hata kitabia.
 
Mkuu kuna watu ambao wana upeo mkubwa sana wa akili ambao hata mimi na wewe hatuwezi kufikiri katika kiwango hicho. Kwao wao ni kawaida sana, yaani your highest level of thinking kwao wao ndiyo just a common sense.

Mimi namfahamu mtanzania aliyekuwa na uwezo wa kuandika kwa mikono miwili kwa wakati mmoja. Uwezo wake ulikuwa siyo wa kawaida darasani. Lakini waliondoka naye mapemaaa sanaaa wakapeleka nje na sijawahi sikia tena kuhusu yule jamaa tangu tuko sekondari hadi leo.

Zamani ukisoma shule za vipaji maalum ulikuwa unakutana na watu wana akili za ajabu mno. AU ukibahatika kusoma nje kwenye Global Universities unaweza ukaogopa akili za watu

Kabisa , kuna watu wapo gifted
 
Unajua shida inakuja wapi Da Vinci ? Wanadamu huwa tunapenda kudanganyana sana kwamba wote ni wabunifu. Nakuhakikishia watu wabunifu duniani ni asilimia chache mno, wengi wetu tunakuwa na elimu na ufahamu lakini uwezo wa kubuni vitu ni Trait ambayo watu wachache sana wanayo.

Watu kama hawa hawaiangalii dunia kama ambavyo mimi na wewe tunaitazama huwa wanakuwa tofauti kabisa hata kitabia.

Ni kweli mkuu.. kuna watu wana karama zao kiasi kwamba hata uweke efforts kiaso gani, huwezi fikia uwezo wao wa kubuni na kutengeneza vitu
 
Hahahahh nimecheka Sana Mkuu
Hawa watu tunaweza kua nao kweli kwenye normal life ?? Inaonekana ni wachache mnoo eeeh??
Wapo sana lakini ni wachache mno. Hapa Tanzania kulikuwa na Professor Justinian Rweyemamu, kuna mzee mwingine alikuwa ni mhehe wa pale Iringa (jina kapuni) alikuwa ni moja kati ya watanzania wa kwanza kusoma Soviet Union mambo ya Aeronautic Engineering na baada ya kumaliza Uingereza walifanya juu chini ili aende kwao akafanyie British Airways lakini Nyerere alimkamatia Airport na kumrudisha Bongo kwa nguvu. Yaani wapo sana tu....
 
Ni special huyu mwana gifted kabisa.
Sana mkuu sanaaa. Sasa kuna dada mwingine alikuwa ana Photographic Memory mimi nilisoma naye darasa moja tukiwa shule ya msingi. Tulipewa kazi ya kiutani utani kushika vitabu vya Biblia wakidhani hakuna atayeweza yule dada alitumia sijui siku ngapi kukariri ile Biblia yote...

Siku kaja Sister mle ndani kutufundisha akauliza kiutani utani kuhusu lile zoezi, eeeh bwana alifanya makosa yule dada alitema cheche hadi shule nzima na walimu ikahamia mle darasani. Mshikaji wangu ambaye alikuwa ni kipanga naye alipataga Division 1.8 O-Level alotolewa knock out.

Yule hadi Mapadri na Masista walimpelekaga mbele naye hadi leo hii hajarudi. 😂🤣😂🤣😂🤣😂😂🤣
 
Sana mkuu sanaaa. Sasa kuna dada mwingine alikuwa ana Photographic Memory mimi nilisoma naye darasa moja tukiwa shule ya msingi. Tulipewa kazi ya kiutani utani kushika vitabu vya Biblia wakidhani hakuna atayeweza yule dada alitumia sijui siku ngapi kukariri ile Biblia yote...

Siku kaja Sister mle ndani kutufundisha akauliza kiutani utani kuhusu lile zoezi, eeeh bwana alifanya makosa yule dada alitema cheche hadi shule nzima na walimu ikahamia mle darasani. Mshikaji wangu ambaye alikuwa ni kipanga naye alipataga Division 1.8 O-Level alotolewa knock out.

Yule hadi Mapadri na Masista walimpelekaga mbele naye hadi leo hii hajarudi.
Hili lilikuwa tatizo sio mchezo kumeza hiko kitabu?
 
How did you know all those people Mkuu?
Wapo sana lakini ni wachache mno. Hapa Tanzania kulikuwa na Professor Justinian Rweyemamu, kuna mzee mwingine alikuwa ni mhehe wa pale Iringa (jina kapuni) alikuwa ni moja kati ya watanzania wa kwanza kusoma Soviet Union mambo ya Aeronautic Engineering na baada ya kumaliza Uingereza walifanya juu chini ili aende kwao akafanyie British Airways lakini Nyerere alimkamatia Airport na kumrudisha Bongo kwa nguvu. Yaani wapo sana tu....
 
How did you know all those people Mkuu?
Mbona wanafahamika sana mkuu ????
Huyo Rweyemamu alikuwa ni Chief Economist wa Nyerere, moja wa wachumi wa kwanza kabisa hapa nchini, mwandishi wa The Brandt Report na moja kati ya watanzania waliowahi kufundisha Harvard University miaka hiyoo.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Ouija.jpeg

Cc: mahondaw
 
Mbona wanafahamika sana mkuu ????
Huyo Rweyemamu alikuwa ni Chief Economist wa Nyerere, moja wa wachumi wa kwanza kabisa hapa nchini, mwandishi wa The Brandt Report na moja kati ya watanzania waliowahi kufundisha Harvard University miaka hiyoo.
Oooh okay Mkuu
Lakini, Mbona inasemekan watu wenye Upeo Mkubwa Sana duniani Kama kina Isaac Newton, Albert Einstein nk Hawakua Vizuri darasani
Kwani wanaofanya vizuri darasani tuwa terms kama watu wenye upeo Mkubwa mfano akina hao professor na regarding akin Newton they weren't good at school ?
 
Inategemeana japo mara nyingi huwa wanakuwa hivyo. Sababu kuu siyo kwamba wanakuwa ni wajinga, bali wanahisi kama wanapoteza muda kusoma. Unajua elimu ina raha yake lakini pia ina madhara yake pia hasa pale ambapo inatumika kutekeleza malengo la kisiasa zaidi ya kuwaendeleza watu kwa kuangalia uwezo wao kama inavyotarajiwa: Inakuwa imejaa mifumo ya kipumbavu kama ulazima wa kutumia Rejea za watu waliopita.

Lakini amini nakwambia watu wenye akili nyingi sana huwa hata darasani wanakuwa n uwezo mzuri kama nchi itakuwa na mfumo mzuri wa elimu na walimu wazuri. Hapa watafaulu sanaaaa.......
 
Back
Top Bottom