Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,825
- 233,259
Sio kawaida yako kupita huku humu kuna majambazi alafu unapita peke yako ni hatari ujue.








Najua hawawezi kunikaba
Utaniokoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kawaida yako kupita huku humu kuna majambazi alafu unapita peke yako ni hatari ujue.








Za pamba ndio nzuri kiafya nitafuata nipe locSi umesema utakuja wiki ijayo kuchukua za pamba ila za khanga zipo tayari

Zipo nyingi tu hapaAngalau nipe nitashukuru kwa usawa huu ni kubwaa
Ikitokea nipo macho usiku
Haraka haraka haina barakoaHuo sio wema ila ni ujuha. Hicho nikifanyacho ndio wema maana nakusitiri na mabazazi ili utulie nikuhudumie tu.
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Ukiona hivyo ujue kuna jambo umelitimiza ndio linakupa amani na furaha. Ni vyema ukaendelea kufurahi coz haitadumu na utaikumbukaSio vizuri hata sometime huwa hata sijuagi nini kinanifurahisha
Si uniongezee jamaniZipo nyingi tu hapa
Hiki kijiwe siku hizi kinatufanya tuugeuze usiku kuwa mchana. Karibu ujumuike barazani


Sina Sixpack mm kimbau mbau mmoja hivi lakini kwajili yako naweza kuwa sharuk khan ghafla nikapambana.Wanakwambia kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake. simiss kaiva sasa hivi
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk



Hii misemo 
Nitamlinda kuhakikisha usalama wa Saint Anne na mali zake.Sio kawaida yako kupita huku humu kuna majambazi alafu unapita peke yako ni hatari ujue.
Nipo hapa kwa ajili ya ulinzi shirikishi
Furaha inatoka wapi wakati kuna corona mzee wanguUkiona hivyo ujue kuna jambo umelitimiza ndio linakupa amani na furaha. Ni vyema ukaendelea kufurahi coz haitadumu na utaikumbuka
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk



Tufikiriane kama vpHaraka haraka haina barakoa
Nihudumie vizuri alafu me nitaanza kukufikiria polepole
Nshakwambia me mkubwa kwako
10 zitakutosha jamani embu ridhika we mwanamkeSi uniongezee jamani
