Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,038
- 6,913
ooooh OK kasha lala 😴😴😴For Rowin I will tell her all about it when she’s awake
ooooh OK kasha lala 😴😴😴For Rowin I will tell her all about it when she’s awake
Tatizo nyie watoto wa sikuhizi hamna adabuuuu
Acha utani we mwanamke [emoji23] Kwahiyo na ww lishe huna kumbe basi tukutafutie tiketi ya kwenda miss world unasemaje hapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kimbaombao kama mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatoka wapi hiyo shida wakati umechangamkia fursa mzee wangu.Mjomba kwani kuna shida?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Sitaki kuzeeka mimi,mambo vipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha utani we mwanamke [emoji23] Kwahiyo na ww lishe huna kumbe basi tukutafutie tiketi ya kwenda miss world unasemaje hapo?
Hapa sio mzee wangu love inaweza drive out fear.Fear is stronger than love
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitaki kuzeeka mimi,mambo vipi?
Inatufanya tuwe lindo mkuu,ikija tunaipiga na gobolecorona
Shwain
Ha ha ha shikamoo inatunyima vitu vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesema hatuna adabu,nikajua unataka shkamoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann sasa mbona ujiamini mamii tunaweza kutapata hela kwa wahisani tukaingia hapo Philippines hapo tukaedit baadhi ya vitu [emoji23][emoji23] alafu ukashiriki miss world hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miss world sitaweza jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi kimbaombao sehemu chache
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Tiba ya asili hii watu weupe hawaitaki